Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

BIN-adamu KATIKA kuhangaika na MAPUNGUFU!

>> Wednesday, May 13, 2009

Binadamu kila akijazia HUKU, kule inapungua.
Na KILA akijazia KULE, huku inapungua.:-(



NA hakuna furaha kwenye UPUNGUFU:-(
Na hakuna AMANI kuliko na UPUNGUFU.:-(

BIN-adamu akijazia kwa KUZAA WATOTO,...
... ya binafsi isiyohitaji watoto HUPUNGUA.

AKIJAZIA kwa kujali ya BINAFSI,...
... ya WENGINE na ihitajiyo wengine au ya watoto huwa ndio upungufu na KILICHOPUNGUA.

Na hakuna amani,...
...PENYE kilichopungua.

Na hakuna FURAHA,..
.. penye ambacho kimepungua.

Na MTU akioa anajazia hata kwenye YASIOPUNGUA.
Na Bin-ADAMU AKIOLEWA ,labda ANAJINYIMA kujazia ya yule JIRANI kama ndiye ALIYE kwenye ujazo wa kuonjesha nanihii KAPUNGUA.

Na kabla ya KUFA,..
... hata IMANI HAITOSHI kama kujazia nyege haihitaji imani na nyege ndio KISTUA KACHOLI kilichopungua.

NA kama huu ndio wakati wa kustukia HIKI,..
.....na kama hiki kimejaa na kama hujisikii vizuri, basi kile KIMEPUNGUA.

Swali:

  • AU?
  • Unauhakika kama ungejazia kile ungehisi kwa hiki mimi mshamba?

NIMEACHA!

Ngojea tupate kutoka kwa huyu MGANDA LOU BEGA alete -MAMBO No-5



au ngojea tu LOS DEL RIO watusumbue tena na kibao - MACARENA..

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 11:59 am  

Simon:-(

Simon Kitururu 7:56 am  

@Yasinta: :-(

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP