Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Labda ANAANDIKA ambacho HUTAANDIKA!

>> Friday, May 08, 2009

Na wakati naandika HIKI,...
.... labda chako usichoandika NDICHO kinacho HITAJIKA kuandikwa.

Na utaandika tofauti na mimi na yule.
Swali:

  • Si unakumbuka wewe sio mimi wala yule?

Nakufikiria WEWE na chako kikupitiacho MUKICHWA sasa hivi.

Ok , labda huhitaji kukiandika na labda hakuna uliye mnong'oneza a.k.a kumng'ata sikio ili wengine tufaidike na wako werevu au kinyume cha uwerevu.

Na labda ni kweli afadhali vitu vingine usitustue hata ikiwa avitatuumiza kama vile ukitujulisha tujue mheshimiwa hujavaa chupi.

Swali:
  • Lakini unauhakika huna busara ambazo tungefaidika ungetutonya kwa maandishi au kipaza sauti?

Lete shule MKUU au unatunza reputesheni?


NIMEACHA, lakini ni wewe unayesoma AMBAYE UNAVYAKUSEMA LAKINI UKO KIMYA nayekuongelea.
LIONE VILE!

Ni moja ya wazo tu au pia ni sajesheni kwa lugha ya ung'eng'e.

Basi ngojea SANTANA abadili hali ya hewa kwa kuturudisha WOODSTOCK katika kibao - Soul Sacrifice...



AU Blu Cantrell na SEAN PAUL wazungumzie-Breath

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP