Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

SAMAHANI kwa kupotea! NIlikuwa naumwa na labda bado NAUMWA!

>> Thursday, April 30, 2009

Samahani ambao nilipoteza mawasiliano ghafla kwa simu , barua, au hata kukonyeza!
Wakiwemo PAPA MANENTO , YASINTA mtoto wa KIBAHA, na ........

Nipo na nitarudi zaidi hivi karibuni !
SAMAHANI kwa kupotea na kama bado ulikuwa unanitembelea na kunifikiria, ASANTE!

NIVUMILIENI kiduuuuchu!
:-(





Sijafa bado lakini !:-(















Nipo bado lakini!:-(



















Ngojea SOLOMON BURKE anisaidie kusema -Everybody Needs Somebody



Au ngojea tu nibadilishe hali ya hewa kwa kumuachia BILL HICKS atukanie katika-Your Children Aren't Special kama una WATOTO

4 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 8:07 pm  

Oh Simon Pole sana na homa na umefanya vizuri kutujuza kuwa ni mgonjwa je nini unasumbuliwa:-(

Anonymous 7:20 am  

mkuu Simon.
Nadhani tumesubiri vya kutosha kuhusu jumuwata,ulituhaidi tukupe muda kidogo lakini bado wahitaji muda zaidi.

kwa ushauri wangu ni vema utamke wazi HAIWEZEKANI nasi tujuwe nini cha kufanya kuliko ilivyosasa hivi.

rasta hapa.

Born 2 Suffer 9:11 am  

Pole sana mkuu ndio maana nimeona kimya kingi, Usikonde ndio ukubwa huo.

Simon Kitururu 5:06 pm  

Asanteni wote!Rasta ujumbe umefika!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP