Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kama akina BUDHA , YESU , MTUME,... walishaongea na kufanya na HALIHALISI ndio HII!(simulizi za aliyekata tamaa)

>> Thursday, April 23, 2009

Na kama akina....
..... Hitler, Mao , Mandela, Kenyatta, Nyerere na Kawawa walishaongea na kufanya na halihalisi ndio hii , akina Kikwete, Kibaki, Museveni na Zuma watakachofanikiwa kufanya ni kututafutia cha kuangalia pale watakapo ishia na labda pasipoeleweka wala kutosha!

Swali:

  • Na kama akina BUDDHA na .. walishahubiri na kufanya, watuhubirio leo wanajipya la kuongea na kufanya libadilishalo au kuongezea ONGEO au HUBIRI?

Na kumbuka,..
... kama hufanyi na tunaongea, hata ukifanya tutaongea.

Tatizo ni,....
...... kuna watu hawatajua ya Yesu, Mohamedi , Buddha au hata Mtikila kesho kama hutaongea.

Swali:
  • AU?
Nimeacha!

Ni wazo tu Kingunge!
USITISHIKE!

Namuachia Justin Kalikawe aseme ya -UGENINI



Au turudi kwa Mnijeria ASA azungumzie tena- Jailler....

1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 9:45 pm  

Mmh! kaka Simon mo naogopa:-(

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP