FURAHA!
>> Tuesday, April 07, 2009
Ni mchanganyiko wa kemikali UBONGONI ukuambiao UNAFURAHA na kikufurahishacho ni katalisti tu a.k.a kichocheo, kisaidiacho ubongo kukushawishi kuwa UNAFURAHA.
Na kwa kawaida Homoni , Nevu,....- mwilini , husahaulika katika mchango wake katika kufanya kikufurahishacho kikufanye UNAFURAHA.:-(
Na kwa kuwa tunafurahia FURAHA bila kutafakari ni nini HASA kiko kwenye kitufurahishacho kwenye FURAHA,...
... daima kitaadimika hiki kitu FURAHA!NAWAZA tu usistuke!
Swali:
- AU?
- Unafuraha?
Au pata WORD OF WISDOM ya kinamna kama unamoyo....
ASANTENI Ndugu, jamaa , marafiki pamoja na MAADUI!
Asanteni sana wadau wote ambao wengine ni hawa kwenye picha nilizodakwa na kudaka juzi ya jana ya juzi.......
























0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Post a Comment