Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

BINADAMU ni KITOWEO ukijisikia KUMLA au hata KUTOWEZA hata kama ni KWA NYUMA ya MBELE!

>> Saturday, April 18, 2009

ASHKI za kula MTU, si lazima iwe UNAKULA kwa KUTUMIA MDOMO!:-(

MAFISADI kwa KUMLA MTU , wanamuacha na NJAA.

CHEKIBOBU kwa KUMLA MTU , bado anabaki ashaliwa lakini bado ANAHAMU.

MSENGE kwa kula MTU , inasemekana huchagua nakuvutiwa KUMLA nyuma.

ASIYE MSENGE akila, anahisi anakula mbele ila LABDA ni analia mbele ya NYUMA.


MCHUNGAJI WA KANISA kwa KULA WATU , bado mpaka kwa wajinga huwadai SADAKA.

SHEKHE kwa kula ,anaweza asistukie umekaa mkao wakuliwa vizuri kwakua wengi HATA wainamao , wamkumbusha msikitini wakiinama ni katika mkao wa kuomba MUNGU.

WANAWAKE kwa KULA , wanaume waweza kuzidi kustukia utamu mpya wa CHAKULA.

WANAUME kwa UANAMME WAKILA, mama na mwana KAENICHONJO kama mwataka KULA.



WATOTO kwa KULA, mabaki ya wakubwa hayakawii kuwaacha na NJAA kwa ulafi WAKIKUBWA.

WEWE KWA KULA,....
....NYANI kasingiziwa.

Swali :
  • AU?

NI moja ya WAZO ndani ya kucheza na lugha ya KISWAHILI TU!
SAMAHANI usitishike Mheshimiwa!

Ngojea John LEE Hooker akiwa na Carlos Santana abadili wazo kwa kibao...-CHILL OUT



Au tu KUBB wadai - WICKED Soul

4 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Anonymous 3:01 pm  

MKUU HABARI

VIPI KUHUSU ILE ISSUE YA JUMUWATA?

UMEFIKIA WAPI?


RASTA HAPA.

Yasinta Ngonyani 6:08 pm  

Simon acha utundu kakangu mmh kazi kwelikweli:-(

Mzee wa Changamoto 1:40 am  

Duh!! Bora "umeacha"

Simon Kitururu 2:02 pm  

@Rasta: Kilichobakia ni wagombea wapiya kujitangaza! Nitapandisha hilo Tangazo soonest!

@Yasinta +Mzee: DUH!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP