Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Halelujah! Rais Obama kapata MBWA!

>> Monday, April 13, 2009

Binadamu kiboko katika kuamua nini ni muhimu!

Karibu DUNIA NZIMA iitwayo ya kwanza, moja ya habari kubwa ni kuwa Rais Obama kawapatia Mbwa watoto wake!

Na inasemekana ugeni wa mbwa katika WHITE HOUSE ni miongoni mwa ugeni mkubwa hapo Waiti Hausi tokea Obama awe RAIS!

Swali:

  • Wewe kwako nini ni muhimu?

Ngojea tumuone mbwa

Au tumsikilize tena Rais Kibaki akitukumbusha anamke mmoja tu....katika -I have only one wife

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 4:15 pm  

eeh Bwana wa mawazo hapo ntashindwa kujibu swali gumu mno nsamehe

Simon Kitururu 3:55 am  

@Yasinta: :-(

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP