Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Heri ya KUFIWA na YESU!

>> Friday, April 10, 2009

Lakini,...
...HERI ya PASAKA labda pia PAMOJA na YOTE , ni HERI ya kuokolewa kwa waumini HASA waaminio walitakatishwa kwa YESU KUFA, hasa kwa waaminio kwa IMANI!
:-(


Swali:

  • AU?
Labda ni kitu kizuri kama wewe ni miongoni mwawaokolewao na damu ya YESU!:-(

Tatizo ni...
.... katika vigezo, VIGEZO vinaweza kusisitizia tarehe , au tu leo, au TU wewe, na sio kutokana na nguvu ya imani.:-(


Swali:
  • Unauhakika hii ndio ile tarehe?

  • Unauhakika kama HII sio tarehe huhitaji kutubu kwa kusherehekea siku ya kufa MAREHEMU wakati sio siku yenyewe marehemu alikufa?

  • Kama wewe ni Mkristo unasikiliziaje CHANSI zako za paradiso leo hii ya PASAKA?
  • HIVI ni kweli wewe MUUNGWANA huwa unafurahia KUFIWA na ALIYEKUPENDA ?

Heri ya PASAKA!
Na labda kama unaamini kwa hilo, HILO ni kweli na LEO NI PASAKA!:-)

Na NIMEACHA!
KUMBUKA nawaza tu na niombee au tubu kama unakwazika!


Labda tupate BISO na BISO...


Au Ali KIBA amuongelee -MAC MUGA...

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Fadhy Mtanga 6:50 am  

Heri ya Pasaka kwa wanablog wote.

Simon Kitururu 7:46 am  

@Fadhy: Umenena, Heri ya Pasaka kwa wote!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP