Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

TATIZO la KUJIHESHIMU!

>> Tuesday, April 21, 2009

Kwa kujiheshimu,....
... unajiwekea MIPAKA!

Kwa kujiheshimu,...
... unajikaza ILI tusijue , ujitunzie HESHIMA.
Kwa kujiheshimu,....
.... unajitunzia yale ambayo unayo ila hutakituyaone ili TUKUHESHIMU.

Tatizo ni,....
.... waheshimuo wezi huheshimu wezi na kama wewe sio mwizi HUSTAHILI kwao HESHIMA.

LAKINI Jiheshimu tu huku ukijua kuwa,...
... wasiojiheshimu wanaheshimiwa pia hata kwa vigezo hivyohivyo vya kutojiheshimu.

Kizuri ni,...
... heshima ni kitu cha bure , hakitakukosti hata ngawira pesa mbili.

Tatizo la kutojisheshimu ni,...
......unaweza heshimiwa na wasiojiheshimu!


Swali:

  • Unapendelea kuheshimiwa na wanaojiheshimu au na wasio jiheshimu?
  • Ushastukia kama usingekuwa unajiheshimu , leo ungekuwa tajiri kidoooogo zaidi ya ulivyo sasa na labda ungekuwa umenuna zaidi?

NI wazo tu na NIMEACHA MHESHIMIWA!

Ngojea MZEE MZIMA gwiji la COMEDY a.k.a REDD FOXX aongee kwa heshima ya kujiheshimu katika-WASH YOUR ASS...( WARNING!Lugha chafu na mambo ya WATU WAZIMA)


Au ngojea James Brown aturudishe kanisani ...

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP