Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

HUZUNI!

>> Tuesday, April 07, 2009

Moyo leo unauma na wataka KULIA,....
... ingawa YAKUHUZUNISHA kila siku yako maishani mwako kushoto na KULIA.

Wakati unacheka, yahuzuni kicheko hayajakitangulia,.....
.... lakini yapo na ukihuzunika si lazima UTALIA.

Na labda dawa ya HUZUNI bado ni KULIA!:-(


Swali:
  • AU?

Nawaza tu mkuu USITISHIKE!


Pata WORDS of WISDOM kutoka kwa -Muhammad s.a.w!!


Au ngojea MUNISHI adai -MSIABUDU MAREKANI....

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP