Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

KUKATA TAMAA!

>> Saturday, April 04, 2009

Unaweza kuanza kwa mategemeo UTATIWA MOYO....

.....Na,...
....ukavunjika moyo zaidi kwa kumjua tayari UTARAJIAYE AKUPE MOYO!

Na...
.... wakati unaeleweka na hujiandai kukatishwa MOYO na asiyekuelewa utarajiaye ATAKUPA MOYO, .....
........KIZURI ni kwa KUKATA TAMAA inamaana umehakikisha BADO una MOYO.


Na,...
....ukiamua bado UNAWEZA kuutumia huo MOYO!
Swali:

  • AU?
  • Unauhakika umekata tamaa na sio UMECHOKA tu?
NAWAZA TU MKUU!
Twende kidogo ANGOLA tukakutane na Ricardo Lemvo alete - Mambo Yoyo

Au tupitie JAMAIKA tukakutane na SUPER CAT aongelee -BOOPS enzi hizo...

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP