Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

KUHUSU BUSARA za asiyestukia BUSARA!

>> Wednesday, April 01, 2009

Katika kubalansi ujinga na BUSARA,....

......BUSARA ni busara kwa atafutaye BUSARA!

BUSARA haina tofauti na ujinga kwa asiyetafuta BUSARA!

Busara ni ujinga kama busara haieleweki kuwa BUSARA!

BUSARA!

Busara hataiwe ni ujinga BADO ni busara itambulikapo kuwa ni BUSARA!

____________------------------------_--------
Nawaza tu!
Swali:
  • Unauhakika gani busara ni busara?


Tulia tupate WISDOM of the BUDDHA....



Au turudi Tanzania kwa JHIKOMAN aseme - GULIGANDA

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 8:20 pm  

Simon, Nilijua najua hili kumbe nimegundua sijui hili. Kazi kwelikweli:-) siku mbili hizi ulipotea nilikumiss na pia mawazo yako.

Simon Kitururu 2:16 am  

@Yasinta: Nilipotea kutokana na shughuli kuzidi!:-(

Ndio maana nimepandisha post kadhaa za yaliyonipitia mawazoni!:-)

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP