Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

KABLA ya kuona UCHI WA PAJA au MISULI YA KIFUA CHA TITI, na pamoja na YA yote YA katika KUCHAGUA MWILI WA MPENZI!

>> Saturday, April 04, 2009

Labda kuna KITU unafikiria ....
....ndio maana kuna mwili UNAKUVUTIA!



Kuna kitu unahitaji shikilia....
.... ndio maana HATA umbo la kitasa ni la KUVUTIA.


Na katika umbo unalokimbilia....
...... LABDA ni kwa ahadi zake unahisi mimba itazaa watoto WANAOVUTIA.


LAKINI mpenzi ni hata atakayekimbilia...
.... MANOTI-PESA kama hilo ndio sehemu la umbo lako LINALOVUTIA.

NA hata uzuri wa ROHO ukikimbilia.....
....umbo la nje lidundishalo moyo bado LINAVUTIA.

NA jifariji hata na ufunguo wa kufungulia......
..... na uhitajilo umbo la mwili ,bado linashabihiana na tundu la ufunguo USIOVUTIA.


NA mpenzi endelea kumkimbilia....
.... wakati ukikumbuka ukipenda, hata NYANI ANAVUTIA.
-----------------------------------------------------------____-----


Swali:
  • AU?
  • Unauhakika kichwa cha habari hii si cha kijinga ingawa labda ndio kilichokusaidia wewe usiyemjinga kutaka kujua naongea ujinga gani?


NIMEACHA!
Tulia na DEPECHE MODE katika-PERSONAL JESUS

Au KANYE WEST WAKINAMNA ahubiri kuhusu ya- GOLD DIGGER!

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP