Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kama sio lazima KUJIBU, unaweza usijute kwa KUKAA KIMYA!

>> Tuesday, April 14, 2009

Ongea unukuliwe!

Ongea silika yako tusiyoijua umati iuhakikishie!


........AU!.......

Kaa kimya ilitukuaminio tusiyojua tukushabikie !


Kaa kimya na binadamu wako bize ,...
.....yasiyo lazima kwao huyaacha yajifilie!


Kama sio lazima kunena , kaa kimya UKIMYA ukujibie!


Swali:
  • Au?
Ni moja ya wazo tu MKUU!
Ngojea Keith Sweat abadili hali ya hewa katika wimbo -Nobody



Au tu TUPAC aulize - I wonder if heaven's got a Ghetto

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 9:20 pm  

Simon, wakati mwingine ni heri kukaa kimya kwani ukisema sana utasema na usichotaka kusema:-)

Simon Kitururu 1:57 pm  

@Yasinta: Kweli tupu:-(

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP