Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Lione vile LIMEJINYEA! Hadharani MENGI hatufanyi yanogayo FARAGHA usipotakakutia AIBU MTU mwanawane, INGAWA INANOGA!:-(

>> Friday, April 10, 2009

FARAGHA bomba ya kitu labda ndio maana ndio kutengenezewako watoto!


Hadharani nishai ndio maana MPAKA wapenda ngono wanaweza kukupiga MKONG'OTO ukionja hadharani kama vile hawajui kwanini unaonja , kama Padre wakikatoliki asiye MBONGO!:-(

Na labda padre asiyeonja anatubu faraghani kwa kumfikiria tu hata muumini mwanana akaaye kiti cha mbele kanisani ambaye anahisi faraghani au hadharani akibinuka kunatatizo la dhambi hata ambayo haijatendeka inatendeka.

Swali:

  • Umestukia ni hadharani tu unawatia aibu WATU?
  • Umewahi kujiuliza kama MUNGU anakuona mpaka chooni wakati unafikiri hujamtia aibu hata kwa staili yako ya kuchamba?

Kumbuka hata ukijinyea faraghani tusipojua ni poa tu !

Na labda,..
..... waheshimiwa wanaheshimiwa kwa yasiyo faraghani na ndio maana labda WANAHESHIMIWA!
Swali:
  • AU?
NIMEACHA
Na kumbuka ni moja ya wazo tu hili na labda ni lakijinga kwako MHESHIMIWA!


Narudi tena NIGERIA kwa the best Afro Beat artist ever in my opinion kwa jina LAGBAJA aseme -FEYINE

Au alete -Gragra

3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 1:27 pm  

Kazi kweli kweli. Pasaka njema Simon usinisahau ukiwa kikaoni:-)

Simon Kitururu 5:34 am  
This comment has been removed by the author.
Simon Kitururu 5:35 am  

Da Yasinta nitumie namba yako ya simu chobisi katika ; skitururu@gmail.com kama humaindi!:-(

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP