Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

DUNIA YA MATANGAZO ya TV na MAGAZETI itanifanya mpaka NICHAGUE nani MCHUMBA MZURI kwa kuangalia TAKO!:-(

>> Thursday, April 16, 2009

GHAFLA maoni ya wazazi hayatoshi....
... Wazazi katika uchaguzi wa kigoli hawalipi umuhimu kama magazeti yalipavyo kipaumbele TAKO.

GHAFLA tabia nzuri iliyozoeleka haitoshi,...
.... Nikitazama TV nastukia ni ya kishamba na naogopa nitachekwa kijiweni tukikaa KITAKO.

GHAFLA titi ni dogo na mnuno wa chuchu isiyomumunyika haitoshi,...
... hasa katika staili za siku hizi za hata wasiopata kwa kukuna kichwa wawezapata kwa kukuna TAKO.

GHAFLA hata wastaarabu wavaavyo haitoshi,...
... baada ya kuangalia tangazo sijali roho wala moyo mkubwa, kama nguo itaonyesha japo udogo wa TAKO.

GHAFLA aitwaye modo asiye na tako ingawa alikuwa hatoshi,...
....baada ya tangazo kwenye luninga nimejifunza jinsi ya kuligundua lake TAKO.

Labda na GHAFLA mke nitakayepata atakuwahatoshi,...
... Lakini TV na Magazeti yatakuwa na tangazo nitakaloletewa lenye dawa ya tiba ya huzuni nikikaa KITAKO.

Si hata nitakao wasikiliza wakinishauri haitoshi,...
... na si busara zao zatoka kwenye matangazo na wanapenda kubwa au dogo TAKO?

Matangazo mwanaharamu weye na tuombee iwe hautoshi,...
.... la sivyo kwa waitwao wajanja ubongo utatoka kichwani na kuhamia kwenye TAKO.:-(

NIMEACHA!
Swali:

  • Unafikiri matangazo hata ya pipi hayajakuathiri au kukufunza ununue pipi gani?

NI moja ya wazo tu USITISHIKE!

siKU NJema!

Au tu St Germain waje tena na kibao nikihusuducho kiitwacho- SURE THING...

5 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 10:50 am  

Mmh kazi kwelikweli:-(

mumyhery 3:05 pm  

mhu yaani we acha tu

MARKUS MPANGALA 9:43 pm  

hata wale wa ughaibuni weny VIKALIO vyao nao huonekana wazuri sabau tu wana vichuh=chu vya kuchoma nyama choma huku wakila pilipili. lakini wapo wale wanaona TAKO ni bora kuliko mchakato wa kuska tabia nzuri na manukato ya ya KIKWAPA
pengine wengine huona ni heri kuliko kukaa TAKoO la mjanja halafu ukaona ni noma kumbe umeshtukia dingi alijuaTAKO lile alilinusa siku moja. au labda ukiona tangzo la ALWAYS ni kama kula wali kwa mlenda halfu unashushia na bagia.

ndiyo maana siku hizi waongeaji wazuri ni wale wajuao KUTONGOZA au KUTONGZWA ni muhimu kiasi gani. au labda tangazo la cowbell halimaanishi kuwa tunywapo maziwa faraghani ni bora kuliko kulamba BINZALI ya BARAFU ya ASKRIMU na KONI huku tukisahahu papai bivu la mngoni,mnyasa, MARKUS

wengine tunaona TAKO ni staili ya KUJAMBIA ifichayo harufu kali lakini katika majimaji ya kanga na mcharazo wa kiuno una halalisha mke au mume aliyejazia misuli kama LENNOX LEWIS.

utaona kumbe hata wigi alilovaa linauzwa pamoja fangasi ambao katika tangzo hawaonekani. Ia uhalali wa TAKo mk

Simon Kitururu 12:20 pm  

@Wote: DUH!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania

Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP