Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kunauwezekano UKAKATISHWA TAMAA kwa kumjua unaye M-ADIMAYA!

>> Monday, April 06, 2009

Labda ,..
... umzimiaye KWA HILI hana kasoro katika hili kwa sababu HUMJUI!

Ukianza kumjua umzimikiaye na kama hujapofuliwa na UKIZIMIACHO, labda UMZIMIAYE ndiye bingwa wa USIYOYAZIMIA.


Lakini ku -ADI-MAYA mtu bado ni bomba kama kuna kusaidia kupata nguvu mpya ya kufanya tendo badala ya kulifikiria tu TENDO.

Na labda unaye M-ADIMAYA kwa sura na umbo zuri ndiye mwenye tabia MBAYA.
Na labda unaye M-ADIMAYA kwa kumsikia tu, ukikutananaye ndio itakuwa mwanzo wa chuki yako kwake.

Na labda kuna unayemnunia kwa hili lakini ungejua lake lile sasa hivi ungekuwa unajishughulisha akuone ili UMCHEKEE.
Swali :

  • Bado unauhakika unataka kujua zaidi kikufurahishacho wakati unajua kunauwezekano kwa kujua sana hata maziwa, ni kweli maziwa ya mtindi ni maziwa yaliyoharibika na unayanywa kwa sababu za kutoyafikiria kuwa yameoza?

NAWAZA TU usitishike!
SIKU NJEMA!

Tulia na THE POWER OF ONE...

AU ngojea Peter Tosh adai- Wanted Dread and ALIVE

Au tu aseme tena katika -WHY MUST I CRY!

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 1:56 pm  

kazi kwelikweli! kama kuwaza tu nakupa hongera.

Simon Kitururu 4:42 am  

@Yasinta: Ningefurahi kweli kama ningekuwa na majibu ya wazo:-(

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP