Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

HOFU KABLA ,hofu BAADA na NDANI ya wakati wakukujithibitishia na kujihalalishia MUNGU!

>> Friday, April 03, 2009

Pamoja na ubora wa MUNGU WAKO, kuna wenye MUNGU KIBUYU na anajibu tu kama MUNGU WAKO ndio maana kunaulivyoomba na hujapata.
Swali:

  • Si umeshawahi kumuona MPAGANI wa KICHINA akipeta?
  • Umestukia kitu pale Taifa lenye MUNGU wainafulani na mpaka pesa iliyoandikwa IN GOD WE TRUST likisaidiwa na Taifa la kikomunisti kama CHINA lisilokiri kuna MUNGU waaina fulani?


Ni MAPUNGUFU na UDHAIFU wa ya kibinadamu usababishao binadamu hata ambao HAWAJASIMULIWA KUHUSU umuitaye MUNGU na uendeleaye kujitahidi kumjua ili abakie kuwa ndiye MUNGU WA KWELI ,waanze kuhisi labda kuna kiumbe chenye nguvu zaidi kuliko binadamu chenye uwezo wakuleta unafuu kwenye ya KIBINADAMU yenye udhaifu wa mpaka kufikia BINADAMU kutokuwa na uhakika wa mpaka kutojua kama ni kweli leo SIMON akilala labda hata AAMKA!.:-(

Swali:
  • Hivi unauhakika MUNGU sio KIUMBE?
  • Unauhakika MBUNG'O na KUKUNGUNI wanakuona umbo lako zima wewe BINADAMU na kiganja chako sio ulimwengu wa SISIMIZI?


Ngojea NIRUDIE!:-(

Labda ni kweli,..
... mapungufu yako ya kibinadamu ndio yanasaidia kukuhakikishia MUNGU!
Na jinsi unavyoendelea kutishika na mapungufu ya ubinadamu wako ndio unavyoneemesha na kustawisha MATEGEMEZI yako ya MUNGU.
Swali:
  • Unauhakika kwa kumuomba MUNGU humtegei MUNGU afanye hata UWEZAYO kufanya?
  • Unauhakika ungeamini kuna MUNGU kama usingekuwa na udhaifu wa KUTISHIKA?

Nimeacha na kumbuka ninawaza tu hapa! Tubu lakini kama UMETISHIKA!

wiKIEndi nJEma!

Ngojea basi tumsikilize huyu MCHUNGAJI Rev ANN HOLMES REDDING adai kuwa amekuwa MKRISTO mzuri kwa kuwa MUISLAMU


Au tu turudi NIGERIA kukutana na FEMI KUTI adai -BENG BENG BENG...

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP