Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

UKITAKA ndoto itimie , AMKA!

>> Wednesday, April 22, 2009

Ukiendelea kulala ndoto inawezaendelea kubaki NDOTO.

Na usipo AMKA ndoto hubakia NDOTO!


NA ukiamka ili ndoto itimie ,....
....kumbuka ufanyacho kwa kukitolea macho si NDOTO!


Na ukifikiri ulipata mimba au kumpa mtu mimba ndotoni, hiyo ni kubaka na haikuwa NDOTO.

Ndoto ni KISURA!

Ndoto ni JINAMIZI!


Na ukiamka waweza tengeneza JINAMIZI au KISURA na chachandu ya shughuli inakolea kwa kuwa UKIAMKA , wewe UKO MACHO!:-(

Na,...
... Amka ndoto itimie !
Ingawa tukikuona UMEAMKA na unalia tutajua nini KIMETIMIA!:-(

Na ukilia ni dawa ya majonzi na mwanzo wa utamu wa yasiyo NDOTO na unajua tayari kilichoKULIZA!

Swali:

  • Unauhakika uko macho?

DUH!
Wazo na linakomea hapa kwa leo!

Ngojea Richard Pryor abadili hali ya hewa kwa Kuongelea watoto wakidanganya katika- KIDS Lying

Au ngojea Beenie Man na Barbee warudishe kitu katika- GIVE IT UP

4 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 8:22 pm  

Mmh, Simo n mi nadhani bado niko usingizini:-(

Simon Kitururu 1:53 pm  

@Yasinta: DUH!

Egidio Ndabagoye 6:02 pm  

Kaka hapa umetugusa wengi.

Simon Kitururu 1:03 pm  

@Mzee Ndabagoye:DUH!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP