ANDAA sherehe ILI usisherehekee!
>> Wednesday, April 01, 2009
Mwandaaji wa SHEREHE hana starehe ya KUSHEREHEKEA sherehe.
Wakati WENGINE wanasherehekea SHEREHE, wewe muandaaji wa kitengo UNAKAZI ya KUHAKIKISHA waliokuja KUSHEREHEKEA wanasherehekea.:-(
Swali:
- AU?
- Unakumbuka kuwa kama WEWE ni MUANDAA sherehe , ukifurahia KWENYE SHEREHE haina maana unafurahia sherehe?
NIMEACHA!
Tutulie na wenye BUSARA tukianza na RICHIE SPICE katika -YOUTH dem COLD...
Au tu tena BURNING SPEAR auimbie UMATI mambo ya dini yake na Mungu wake katika -DRIVER...
Asanteni WADAU WOTE na baadhi yenu hawa!..









0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Post a Comment