KIBOXI Manyoya ni aina ya USHAHIDI!( simulizi zilizopinda)
>> Friday, April 17, 2009
MOja ya shughuli ya BINADAMU ni KUTAFUTA MAANA ya VITU!:-(
Na akisikia simulizi za KIBOXI MANYOYA ataoanisha nini kinamjia akilini katika mrengo wa KIBOXI MANYOYA.:-(
Na labda manyoya NI ushahidi kitu ni KUKU au NGURUWE!
KIBOXI MANYOYA labda maana yake UMEKUA!:-(
KIBOXI manyoya LABDA maana yake wewe ni NYOYA na nikipuliza UTAPEPERUKA!:-(
KIBOXI MANYOYA labda ni KIBOKSI cha MANYOYA chini kidogo ya KITOVU pamoja na ukweli kwamba ni NYWELENYWELE na wewe UNAJUA NI MTU na huna MANYOYA.
Kiboxi MANYOYA ni ushahidi binadamu anavisivyo na mpango wala matumizi MWILINI na AKILINI.
KIBOKSI MANYOYA ni ukubwa hata kama bado MJINGA.!

KIBOXI Manyoya labda ni kiboksi chenye MANYOYA na maana yake ni tafsiri za ubongo wako na kama ni mfikiraji wa matusi labda KIBOXI Manyoya ni MATUSI!:-(
Swali:
- Unauhakika kuna kitu ninamaanisha?
- Kwani ni lazima kila kitu uelewe mwaniwane?
NIMEACHA na kumbuka nikatika kupitia moja ya wazo katika MAWAZO na ,WIkienDI Njema KINGUNGE!
Ngojea basi kidogo MACY GRAY achokonoe kwa kibao-I TRY
Au tu John LEE Hooker akiwa na SANTANA adai-HEALER
2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Simon:-) kwa nini usichemche maji na kunyonyoa haya manyoya:-) Mmmh kazi kwelikweli kuwa na mawazo kama haya. Ila nakusifu!!!
@Yasinta:DUH!
Post a Comment