Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Labda watu WAKUBALI TU YAISHE kuwa - wanahamu saa nyingine!:-(

>> Wednesday, December 29, 2010

Swali:

  • Si kwa BINADAMU kukosa hamu ni aina ya KILEMA?
  • Na hata kama unafikiri hatujui , -SI labda ni kweli UNA HAMU sasa hivi?
  • AU?





Kubali yaishe,...
....kwa kuwa LABDA kama hakuna hamu hata angalau ya ELIMU ,....
.....mahitaji yake hata ELIMU  hayatakuwepo kinanihino,...
... kwa kuwa labda yote afanikishayo BINADAMU hutokana na hamu ya NANIHII YOYOTE hata inukayo KIAINA!:-(







Swali:

  • AU?

Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!:-(












Na hebu tumtembelee MZEE YUSUPH .....


Mzee YUSUPH na Zanzibar STARS  warudie-NAJIAMINI



Mzee Yusuph aendelee na ndude hiihii -NAJIAMINI



Au tu mdada Carola Kinasha abadili zaidi kwa - Ujasiri

3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Anonymous 1:29 pm  

Nimtazama mzee yuuf & his wives, mbona wanawake wenyewe hawajachangamka kama mze mwenyewe? observation tu!

Simon Kitururu 3:09 pm  

@Serina: Swaligumu hilo! Na nadhani wengi majibu yetu yatakuwa ni ya kubahatisha tu sababu.


Labda kamera inawazingua au wamesikia anatafuta mke wa tatu.

Labda huchangamka zaidi chumbani .

Labda......

Mija Shija Sayi 10:57 am  

Nimekubali.

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP