Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

R.I.P Teena Marie!:-(

>> Monday, December 27, 2010

Kwa wapenzi HASA  wa R&B wakutoka zamani kidogo  ,...

.....watakuwa wanamjua HUYU mama na kazi zake!


March 5, 1956 – December 26, 2010





Kwangu mara ya kwanza nilimstukia kupitia kazi za Rick James,...
....na nilikuwa nafikiri ni Mdada Mweusi,...
....mpaka baadaye kidogo kupata kanda yake ya  KASETTI yenye picha yake.

Unajua tena mambo ya enzi za MIKANDA ya  KASETTI ndio ujanja.


R.I.P Teena Marie!



Ngojea aongee....




Au ngojea tujikumbushe moja ya nyimbo zake Teena Marie  na Rick James wa enzi hizo uitwao-Fire and Desire



Duh Rick alitutoka ,...
.......na sasa Teena Marie! 
:-(

Hebu tujikumbushe pia na Rick James maana ghafla nimeanza kummisi tena naye katika -Super Freak


Au tu na Marehemu Rick James arudie tena wimbo unikumbushao pia mbali wa  -Cold Blooded

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP