Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

MTOTO mzuri NAKUTAKA!-(simulizi za asiyenacho!)

>> Saturday, April 11, 2009

Unatamanisha kwa kuwa SIJAKUPATA!:-(

Na labda hunogi AKIKUPATA:-(

Ingawa katika maisha hakuna anayepata,....
..... bado waitwawo wajanja wanafagilia ambao tunahisi kunakitu wanacho ambacho HATUJAPATA.

Na katika maharage bado UPO ndio maana hata katika mboga kuna MBATATA!:-(

Na kabla hujanipa MATATA,.....-
....kumbuka kama uko hai hata kama huna TITI LA KUTOSHA, labda wewe MATATA.:-(

Na JIAMINI tu katika huo UTATA!:-(

Swali:
  • AU?

DUH!

NIMEACHA na ninawaza tu MHESHIMIWA!


Ngojea SHABA RANKS aonee wasenge katika kibao - WICKED IN BED


AU tu tuendelee na LAGBAJA katika -SKENTELE Skontolo

3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 7:30 am  

Simon, endelea tu kujiamini na pia kuwaza ha ha ha haaaaa:-)

Unknown 12:00 pm  

kaka naona unaendelea na falsafa zako za mawazoni,

Simon Kitururu 11:29 pm  

@Yasinta: :-)
@Ambiere Kaluthe: Siasa siwezi mwenzio na ujinga waheshimiwa hawaandiki!:-(

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP