Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

TAALUMA ya KUJIZUIA kuchungulia!

>> Wednesday, April 01, 2009

Wakati umestukia tundu, ....

..... labda kunakilichoVUJA!:-(

UKIHISI wanafanya SIRI ya TOBO,...
.... unaweza TAKA KUWACHUNGULIA wenye tobo hata kama MBELE ya TUNDU kuna hata kishimo chenye SIRI YENYE TOBO ujuayo, INGAWA KWAO ni tundu wasiloridhika nalo ingawa hutambulika kwenye MACHO kwao kuwa ni TOBO.:-(
Na,...
... kuchungulia BADO ni kuangalia HATA KAMA ni kwa SIRI na unajificha kwa WAO unaowachungulia.


BAFUNI au CHOOONI hakuna siri kama SEBULENI hujawahi kustukia ndio UNAHITAJI kuchungulia kama ni muhimu NA ,....
........ huleta BARAKA za MCHUNGULIO kama wewe umestukia siri zifaazo kuchunguliwa HUCHUNGULIWA ila HUJASTUKIA siri ziko wazi na LABDA ,....
....ziko SEBULENI ingawa huchungulii bado kwa kufikiri sebuleni si PAKUMCHUNGULIA wakati anaoga bafuni!:-(

Swali:
  • AU?

Kumchungulia MTU ni yako SIRI ingawa waweza MPAKA kumstukia MUNGU pale YAKIBINADAMU ukichungulia.
Swali:
  • Au?

NIMEACHA!
NAWAZA TU KUMBUKA!:-(

Jikumbushe baadhi ya maana ya LOOK au Peep
Tutulie kwa kurudi TANZANIA kukutana na MATONYA aongelee kitu- TAXI BUBU

AU tu ALI KIBA aendelee kuongelea -NICHUM

3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Anonymous 12:49 pm  

hivi wewe simon huwa unaandika vitu gani kila siku natembelea blog yako yako lakini sielewi unaandika nini? yani vitu havieleweki unaandika pumba tu hivi huna vitu vya maan vya kuandika weka hta cartoon tuangalie basi

Simon Kitururu 2:11 pm  
This comment has been removed by the author.
Simon Kitururu 2:21 pm  

@Anony: Asante kwa mtazamo!

NAWAZA tu hapa na si kwa madhumuni ya kueleweka zaidi ya kujaribu kuelewa!:-(


Kama unataka kucheki Katuni unaweza kukongoli kwa Said Michael , FEDE au google tu neno Katuni utapata kurasa za katuni bomba kama za Kipanya na wengine.


Asante kwa kunitembelea kila siku bila kuelewa UjingaBUSARA!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP