Data za leo za CIA kuhusu Tanzania bado zinanizingua!
>> Wednesday, June 03, 2009
HIV/AIDS - people living with HIV/AIDS:
- 1.4 million (2007 est.)
Religions:
- Christian 30%, Muslim 35%, indigenous beliefs 35%; Zanzibar - more than 99% Muslim
Hivi hii ya 35% indigenous beliefs Rais wao atatokea lini wakati kilasiku kwenye siasa tuna wasikia wakristo na waislamu tu wakilumbana? Hawa wenye indigenous belief wako wapi katika kuchangamkia maswala hapa TZ?
Literacy:
- : age 15 and over can read and write Kiswahili (Swahili), English, or Arabic
male: 77.5%
female: 62.2% (2002 census)
Hivi hawa asilimia zisomazo na kuandika huwa zinahusudu kusoma nini?
Government type:
- republic
- name: Dar es Salaam
time difference: UTC+3 (8 hours ahead of Washington, DC during Standard Time)
note: legislative offices have been transferred to Dodoma, which is planned as the new national capital; the National Assembly now meets there on a regular basis
Hivi kumbe makao makuu sio Dodoma tena?
Internet users:
- 400,000 tu(2007)
Age structure:
- 0-14 years: 43% (male 8,853,529/female 8,805,810)
ENDELEA kivyako kama unamuda mie NAACHA kwa kukongoli CIA -Theworld FACTBOOK
Ngojea nimuachie Lukazi Sambatree atupe -Tanzania National Anthem
3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Labda sasa pia wasiooa waoe na kuzaa ili hapa baadaye wapate mke na mume. Kwani inawezekana watu wameancha kuzaa. Yaani wanapenda kufanya ngono tu kwa hiyo watu hawawezi kuongezeka:-(
Hizo data za CIA zisikuumize kichwa. Mimi nafikiri kuna mtu huwa anaota na kuandika
@Yasinta na CHIB: Labda ni kweli msemayo!
Post a Comment