Monday, June 29, 2009

JINSI ya kumuibia MJANJA!

CHAMSINGI,...
...mfanye AAMINI unaamini kuwa yeye MJANJA!

Swali:

  • AU?
Kumbuka kutofautisha kuiba na KUPORA,....
...... na uwezekano wa kubwengwa ukidakwa kwa kukosea staili ya kumuibia MJANJA.


Nalikatizia hili WAZO hapa kwanza labda halikufundishi kitu kama wewe sio MWIZI!:-(

JUMATATU njema KIJEBA na ikiwezekana USIIBE nasikia ni DHAMBI!


Au turudi KENYA Safari SOUND BAND wakumbushe- MAMA LEA MTOTO WANGU..


Au tu GREGORY ISAACS abadili kwa -Love is OVERDUE..

7 kommenttia:

Yasinta Ngonyani said...

Simon una mpango wa kumuibia nani?:-)

SIMON KITURURU said...

@Yasinta: Nampango wa kumuibia shetani ! Si nasikia shetani ndio amilikiye ya kidunia?

Yasinta Ngonyani said...

Sikujua hilo kumbe basi nakutakia uibaji mwema lol

chib said...

Mbavu sina......

Anonymous said...

Kama vile ya Jumuwata...ujanja.


Rasta hapa.

Mzee wa Changamoto said...

Ushafunza tayari. Lolllll

SIMON KITURURU said...

@Chib: :-)

@Rasta: DUH!

@Papaa MUBELWA BANDIO : :-)