Sunday, June 28, 2009

STORI za JUMAPILI kama tu za JUMANANE za Kalumekenge!

KalumeKENGE aliamka,...
..... na kuachia bomba la M-hayo kabla ya kujinyosha na kujamba kidogo.

Ndio ,...
....ALIAMKA halafu baadaye siku ilipoisha AKALALA kama wewe TU!:-(


Ndio,..
.... labda kuna MUDA ndani ya SIKU kwa kuwa yuko hai alifanya jambo AFIKIRIALO ni KUBWA akilini mwake kabla hajaenda MSALANI kama wewe TU!:-(


DUH!

Swali:

  • AU?
  • Hivi kwani JUMAPILI inarangi tofauti na JUMANNE ,na ukisikia njaa, njaa ya JUMAPILI ni tofauti na ya ALHAMISI?

DUH!

Ngojea NIACHE wazo hili na labda ni la kijinga!:-(

JUMAPILI njema KIJEBA!


AU ngojea MR BEAN aboreke KANISANI kiduchu katika....-Church bore



Au tu tumchungulie MSENGE akishughulikiwa KANISANI na wajanja...-Church Rids Gay Demon....

3 kommenttia:

Fadhy Mtanga said...

Ni wazo tu,..!

mumyhery said...

Simon hivi wewe ni mtunzi wa mashairi? maana yake mhu!!!

SIMON KITURURU said...

@Papaa Fadhy: Ni kweli ni WAZO TU!:-)

@MUMYHERY:Mie wala si mtunzi wa mashairi!:-(