Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

KU-mamaye/KU-dadaye Walakhi! BINGWA miye KAMA weye NIMENYIMWA kuonewa mpaka HURUMA!:-(

>> Friday, June 19, 2009

Ni tusi kuonewa huruma,...
.....
kama wewe katika SIGIDA kwa kuwa una SIGIDA ndio UNADHANI unatakiwa kuwaonea huruma wasio na SIGIDA kwa kuwa HAWASUGUI sebule ya kichwa kwa KUSALI mpaka wakaota SIGIDA!:-(



Na KUONEWA HURUMA ,...
......ni siri ya UMASIKINI kama wakuoneao huruma wanakitumbua na wamefikia kukunyima KITUMBUA na huna uhakika na uwezo wako wa KUTIMBUA.:-(


Na si siri,...
.... kuna kitu nimenyimwa LEO kama MWAKA JANA kama WEWE TU ,....

.... ambacho kwa kunyimwa nakifanyia kazi na nahisi nitakibugia BAADAYE kwa juhudi.:-(


Swali:
  • Unafikiri juhudi ni nini na ni lini uliJUHUDIKA na kwa kujuhudika unaweza kuapia HUKUWEZA kufanikisha KULA?



SAMAHANI kama KU-mamaye ni TU-si kwa mheshimiwa kama MHESHIMIWA huwa anafikiria KU-dadaye ni NINI!:-/


Nakatiza wazo KINGUNGE na labda wazo hili ni UJINGA ingawa kumbuka ni WAZO TU na sio USENGWILI!:-(

ASANTENI WOTE na ukiwamo WEWE, lakini kama wewe ni MHESHIMIWA kama WEWE halafu umejikuta UMESOMA mpaka sentensi hii ambayo labda ni UJINGA, samahani!:-(


NAACHA!
Swali KIDUCHU:
  • Unahisi au UNAFIKIRI ni HAKI ya MUNGU au YAKO kuonewa HURUMA na wenye HURUMA wale?
Na hivi KU-shangaziye WALAKHI kwako si tusi,....
.... KAMA utaniahidi kufikiria tena kwako TUSI ni NINI?:-(

Samahani BINGWA!
Niko MAWAZONI tu mwenzio!:-( :-( :-(




Ngojea MAXWELL aongelee MAISHA katika MNONONEKO uitwao....-LIFETIME




.....AU tu MAXWELL aendeleee kutuboa kwa kibao...-REUNION..



5 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 11:59 am  

Simon:-(

chib 6:49 pm  

Vipi Mzee kuanza na t#s*!!

Simon Kitururu 2:27 am  

@ Dr CHIB:
Sijui kwanini nilianza na t#s*!!

:-( Ila kuna mshikaji kaniambia kuwa akinisoma anafikiri na panua UWIGO wa NI nini Mjinga kama mimi anaweza kuongelea na kuwa kama mama yangu akinisoma atafikiria alijifungua KIFUNGO kwa kuwa sina siri afikiriavyo.:-(

Dr CHIB naanza kuhisi MPAKA nilimalizia Na t#s*!! :-(

chib 5:15 pm  

DUH!!!

Anonymous 4:59 am  

[ ... ] link is being shared on Twitter right now. @zenx, an influential author, said RT @1ndus: Xtreme [ ... ]

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP