Sunday, June 07, 2009

JINSI nimuheshimuvyo UNAYEMDHARAU!

Kuna watu unawaheshimu halafu ukashangaa wao WANAMUHESHIMU unayefikiri anafaa KUDHARAULIWA!:-(


DHARAU ni bomba la udhaifu ndio maana hujafikiri kuwadharau UDHANIAO ni BOMBA:-(



NDIO,..

...LABDA kila mtu ana sababu zake KWA NINI anadhani MIMI au lile JINGA!:-(


Ila USAHIHI wa SABABU ukijulikana INAWEZEKANA asilimia KUBWA ya WANADAMU wanakosea WAKUMDHARAU!

Swali:

  • Una uhakika na sababu zako zisababishazo kuna CHAUPELE una mdharau ?
  • Una uhakika CHAUPELE akipona UPELE hutatamani kumpa kikojoleo kama isingekuwa dhambi?



NI hilo tu na NIMEACHA WAZO!:-(


Ngojea SHABBA RANKS aongelee -Trailer LOAD of GIRLS...


Au tu BILLY PAUL aongelee mapenzi ya MKE wa mtu katika-MIMI na mke wa JONES

2 kommenttia:

Fadhy Mtanga said...

Kutoa kikojoleo sometimes noma!

SIMON KITURURU said...

@Fadhy:
Lakini mara nyingi situation inanyima mwenye kikojoleo kuringa nacho hadharani.:-(

Halafu kisirisiri CHOBISI ukionyesha madoido yako ya NDANI-NJE ,unaweza pata gono au Kaka yake UKIMWI kama sio ZE-Ujauzito.:-(