Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Tatizo la WATAKAO KUELEWA!

>> Saturday, June 13, 2009

Watakao kuelewa mara nyingi husahau wakielewa wanaweza kukosa raha!:-(

Na,..
... WATAFUTAO kuelewa ni kweli WAMEJIONGEZEA TATIZO la kuelewa KAMA kwa kuelewa wamegundua kuwa wao ni BINADAMU na kuna mambo ukiwa MTU uwezacho vizuri ni kusononeka kwa kuwa hapa duniani na yakidunia MJANJA ni SHETANI na kama unabisha MUULIZE YEsu atakuambia jinsi gani kwa ya kidunia kama unaamini MUngu jinsi SHETANI aijuliavyo dunia.

Swali:

  • UNABISHA?

NAACHA, au ngojea niseme kwa kisauti..



Samahani nilikosea ujumbe ngojea niseme tena...

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 1:46 pm  

Nimeupenda wimbo wako wa nampenda nampenda msichana mzuri na halafu hujataja jina lake na pia hujajua kama unampenda.

Simon Kitururu 11:04 am  

@Yasinta: :-(

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP