UNAKUMBUKA swala LA KWENDA kupima UKIMWI?
Ni hilo tu nataka kukukumbushia,...
..... kama unahisi hili swala na weye LINAKUHUSU kama tu YULE au MIMI!
Swali:
- Kwani swala hili linahitaji maelezo zaidi?
Ngojea TENDER MAVUDLA ambaye anaishi na MDUDU atukumbushe jambo fulani tena...



0 kommenttia:
Post a Comment