JINSI ya kuendelea KUVUMILIA UTAMU!
>> Tuesday, June 02, 2009
UTAMU ni MAUMIVU!
Na LABDA kama unanogeawa na utamu KUNAUWEZEKANO unajua MAUMIVU.
Swali:
- Hivi wakati unasikilizia utamu ushawahi kujiuliza ni kwanini UNADHANI ni TAMU?
Na labda wakati unasikia utamu hujiulizi kwa nini utamu wa sukari na kikojoleo ingawa unajua hivyo vyote ni tofauti ila bado vyote ukifaidi unadhani au unauhakika vyote ni vitamu.
Swali:
- AU?
- Lakini si unajua ukizidisha sukari hata chai hainogi kwa kuwa sukari imezidi na chai imezidi utamu?
Na ni kweli kuwa hata kikojoleo kinaweza kukusaidia kusikilizia utamu lakini labda ukikinusa wakati kinakusaidia kuonja utamu BADO labda KINANUKA.:-(
DUH!
Naacha WAZO na kumbuka hili ni moja la wazo tu!:-(
AU ngojea Kofi Olomide amuongelee - SYLVIE
Au tu tu Frankie Paul arudie kuongelea - SHUB IN
2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Kazi kwelikweli;-(
Ni kazi haswa!:-(
Post a Comment