Monday, June 22, 2009

JICHELEWESHEE huzuni kwa angalau kujaribu KUCHEKA mwanawane!

Labda kuna ukweli ,..
.... WACHEKESHAO ni wale wajuao SHIDA na kwa KUKUCHEKESHA wako tu katika kukwepa HUZUNI!:-(


Labda ni kweli,...
... kwa KUCHEKA unajicheleweshea HUZUNI.

Swali:

  • AU?

CHEKA BASI KINGUNGE ,....
.....kama UMESHAFANIKIWA KUSTUKIA au unakumbuka tu kuwa MATATIZO HAYATAISHA hata UKITUNUNIA.:-(


Kumbuka,...
.... hata kwa kujichekesha BINTI Khalufani alifanikiwa KUCHEKA na hilo laweza kukutokea wewe kama ukiacha KUJINUNISHA.:-)

Ni hilo tu na JUMATATU NJEMA Kingunge!

AU tu msikilize Chameleone aongelee - Shida za dunia

4 kommenttia:

Yasinta Ngonyani said...

Simon:-(

Fadhy Mtanga said...

Ha ha ha ha haaaaa..!

chib said...

Falsafa yako ya kicheko kuwa mbadala wa kukwepa huzuni imenifurahisha!

SIMON KITURURU said...

@Wote : Asanteni kwa kunitembelea hapa kijiweni Wajameni!