Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

UJINGA!

>> Tuesday, June 02, 2009

UJINGA MAARUFU ni ule ufanywao na WATUMIA AKILI!
Swali:

  • AU?


NA CHA AJABU ni kwamba,...
......wale wajulikanao kwa MIAKILI ndio kuna ujinga hawaustukii hasa katika sehemu wasizotaka kustukia hili kwa kuwa wanaamii lile kama vile NANIHII ziitwazo DINI.


Haki ya nani tena ,....
....... ni wenye akili ambao HUANZISHA KUABUDU hata KUKU kisa ni KUKU ZERUZERU.:-(




UJINGAAA!



Tatizo la UJINGA MAARUFU ,...
.... kama ukiustukia kuna watakaodhani au kuwa na uhakika UNACHEMSHA.

Swali:
  • AU?


NAACHA!

3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Mzee wa Changamoto 3:15 am  

Duh!! Ni kama tumewaza mamoja japo kwa umoja uliotofautiana. Lol. Swafi sana.
Blessings

Yasinta Ngonyani 11:03 am  

Mzee wa Changamoto usiniambie nawe umeanza kuwaza UJINGA kama Kaka Simon.lol

Simon:-(

Simon Kitururu 4:58 pm  

@Mzee wa Changamoto: :-(
@Yasinta: :-(

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP