Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

ILE ....- ..asante SHAHAWA,...

>> Friday, March 12, 2010

...kwa kusababisha hata MAMBA MKALI kutaga MAYAI  mbayo hayatakuwa  VIZA kwa kukosa VIRUTUBISHO!:-(


Ndio,...
...kuna wasahauo KUMSHUKURU  JOGOO na kushukuru TU kimiminika cha jogoo kimuingiacho KUKU kwa kuwa kimerutubisha MAYAI YA KUKU  ili mayai YAPATE ujauzito yazae VIFARANGA  kwa kuwa kimiminika cha JOGOO kilisaidia , ingawa JOGOO MWENYEWE ndiye aliye shikilia  kiuno ambacho katika SHUGHULI ndio siri ya mafanikio ya mayai ya kuku kupata  VIRUTUBISHO.:-(


Swali:
  • Si unajua kishukuriwacho MIMBA YA BATA IKIPATIKANA  labda kimsaada wala sio kilichokuwa muhimu ZAIDI katika swala la BATA kupata mimba?


NDIO,...
...kwa bahati mbaya kuna WASHUKURUO kimiminika cha JOGOO na kumsahau KUKU na  punje zake   za kizazi ,...
... na katika hilo  KUSAHAU bila KUKU hakuna kitakachototoleka kwa kuwa bila KUKU mwenye  sehemu  za ZA SIRI za kuingizwa kimiminika cha JOGOO MWENYE NYEGE  ,... kile cha kuku chenye mchepuo wenye NANIIHII hakitajazwa mimba ambayo ili ijazwe ujanja,... UJANJA  unahitaji KUKU NA MARINGO YAKE ili  mayai yapate KIRUTUBISHO.:-(





Swali:
  • Unauhakika unapatia kulenga kihitajiwacho na ahitajiwaye  KUSHUKURIWA?
  • ASANTE zako unauhakika  HUWA unashukuru kukatiwa kiuno au kisababishacho UWEZO wa  kukata kiuno UWEPO  uletao maana katika faraja zako?

  • Ni mara ngapi kama wewe unaamini MUNGU umemshukuru MAJALIWA kwa kukuwezesha kupata nyege?
  • SI unakumbuka labda sio  MKULIMA aliyesababisha kulikuwa na chakula ulichokula leo?

NAKATIZA WAZO!:-(

ASANTE kwa yote  WEYE na WOTE lakini,....
... kwa kuwa labda naandika huu UjingaBUSARA  kwakuwa LABDA NAHISI KUNA mtu anasoma!:-(

NIMEACHA na samahani kwa kupindisha WAZO na kwa matumizi ya LUGHA ambayo  kwa MHESHIMIWA asiye ita BELESHI -beleshi ni NYOKO!:-(

IJUMAA na WIKIENDI NJEMA Mheshimiwa !


Au NGOJEA tubadili na twende kusikiliza ya  MUNGU kikiristo  kwa kupata wimbo mwanana kutoka kwa  ROSE MUHANDO akitonya ndude-Mungu Wangu nitakushukuru




Au Zain Bhikha atonye kwa mkao wa KIISLAMU katika -A is for Allah



Na   MAKASSY arudishe KITU NYUTRO  nilivyo katika  ndude -MAMBO BADO

6 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 9:58 am  

Mungu wangu nitakushukuru oops nimejikuta naimba huu wimbo kwani ni wimbo ambao naupenda sana. Namshukuru Mungu...

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa 11:59 am  

@yasinta unamshukuru kwa kukupa nini zilizokufanya uitwe mama???

soory, sishukuru, zanitesa nikiona picha za wadada

Simon Kitururu 1:24 pm  

@DA Yasinta +Komandoo Kamala: :-)

o'Wambura Ng'wanambiti! 2:56 pm  

hii ni kasheshe kubwa!

Kwani wakati mungine kushujuru inakuwaga ishu :-(

Yasinta Ngonyani 4:56 pm  

Ninanukuu "Ni mara ngapi kama wewe unaamini MUNGU umemshukuru MAJALIWA kwa kukuwezesha kupata nyege?" Mwisho wa kunukuu:- Je wewe Mtakatifu umewahi kufanya hivi?

Simon Kitururu 2:20 am  

@Da Yasinta: Huwa namchezo wa kushukuru kwa kila KITU.:-(

Wewe je huwa unashukuru kwa kuwezeshwa ?

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP