Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

TATIZO la MJANJA akichumbia mtu AMUHISIYE ni MSHAMBA!:-(

>> Saturday, March 13, 2010

Kirahisi MJANJA anaweza kujigeuza MWALIMU badala ya kuwa MPENZI kisa anahisi MAHUDUSHI -pangala wake ni MSHAMBA.:-(

Swali:
  • AU?


Ukihisiwa MSHAMBA waweza kujikuta unafundishwa mpaka unayojua,....
.... na wanaokufunza WAJIDHANIAO NI WAJANJA kusahau kujifunza KUONA MAMBO kwa jicho lako kitu ambacho chaweza kuwa ndio KITATUA tatizo.


Na tatizo la yeyote ajifikiriaye ni MJANJA na ndiye anayejua,...
....LABDA  ni kujipa UALIMU kitu ambacho chaweza kuwa ndicho tatizo.

Swali:
  • Unabisha?


Ndio kila siku ni SHULE,...
.... lakini kuna sababu kila mtu SHULENI huwa kuna  MWALIMU amkumbukaye kwa UALIMU mzuri wa kusifika,.....

.... na labda MAISHANI ukichumbia MSHAMBA jaribu kuchanganua kama ni kweli hilo lakufanya UFUDHU kuwa MWALIMU na si mwanafunzi katika PENZI.:-(


Swali:
  • Hivi unafikiri UJANJA sio USHAMBA?
  • Hivi USHAMBA ni nini vile?


NI WAZO TU HILI MHESHIMIWA!

Hebu SIMBA WANYIKA katika kubadili wamwage ndude-SHILINGI YAUA tena ni MAUA




Au tu Buena Vista Social Club warudie tena pia - Chan Chan

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP