Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Moja ya WAZO LA MWANAMME kuhusu haki za MWANAMKE zikifikia kucheza karibu na mwanaume kunyimwa FARAJA za kike!

>> Saturday, March 27, 2010

wali:

  • Umewahi kunyimwa wakati unataka?

Haki ya kutaka  na inayoeleweka,...
....KIBONGE  cha mpinzani wake ni KUWA  mtu mwingine NAYE anaweza kutoa madai hayohayo   kuwa  HAKI  YAKE ni kukunyima.:-(

Na kwa bahati mbaya MWENYE haki anaeleweka,....
... asipoelewa ni kwanini katika HAKI YAKE YA KUTAKA   kuwe na mtu mwingine mwenye haki pia ya KUNYIMA.:-(


Na haki NISHAI,....
.... ndio maana wakati kuna ateteaye matumizi ya kikojoleo na bado haja fikiria kuwa KINYEO NACHO NI TAKWA kuna adaie haki ya matumizi ya kinyeo ambayo hataki yawe kisheria katika kifungu cha kimlazimishacho kisheria hicho kipengele kwa wakitakacho katika burudani au mahusiano  KUKINYIMA.


Swali:
  • Unauhakika wakati unanyimwa unamfikiria akunyimaye ni kwanini ananyima  saa nyingine kinukacho kipengele?

 Na HAKI  nishai,....
....ndio maana kuna wateteao DINI watakuambia mpaka ni upotofu wa maadili  kwa jinsi HAKI ZA WATU ZIDAIWAZO KUKUBALIWA SIKUHIZI KUWA WANAPOINTI  zinavyotukania maadili ya dini kwa jinsi wafuasi wajaribuvyo kuzielewa dini zenye maelfu ya MIAKA kwa taratibu za uelewaji wa IMANI wa isemekanavyo ni kileo.:-(



Na haki NISHAI,...
.... kwa kuwa haki za wengine zisipofanana na ZAKO wewe zaweza KUKUUMIZA NANIHIII na  na kukupa nyege hata ile ya  kilio.:-(


Swali la marudio :

  • Umewahi kunyimwa HAKI YAKO wakati unataka?


Kikubwa cha KUJIFUNZA ni kwamba ,...
.....baadaye BAADA YA KUNYIMWA unaweza kugundua ndio ilikuwa BONGE LA BAHATI NA MSAADA  KWAKO,....


... uliosaidia HUKUGAWIWA UKIMWI kwa kuwa ulinyimwa na ndio sababu baadaye ukafaidi tamu zaidi  MBIVU zile.:-(



Swali:
  • Umeshawahi SIKIA mtu aliyelalamikia kukosa USAFIRI anavyosifia BAHATI YAKE baada ya kusikia GARI LILILOMNYIMA LIFTI limeata ajali na wasafiri wote wame ZE DEDI a.k.a wamekufa na KUFARIKI?

Labda KIKUBWA CHAKUJIFUNZA ni kwamba,...
.....ucheleweshwaji wa HAKI za mtu waweza kuwa na fundisho angalau la nini hasa ni haki kwa ANYIMWAYE.

Si utani,...
... HAKI ZA WANAWAKE zicheleweshwavyo  LABDA kuna kizazi cha VITUKUU zitafikia kusifia hilo kama sababu wanawake wamezidi NGUVU na UBABE  WA NANIHII kuliko wanaume .

Swali:
  • Umeshafanikiwa wewe binafsi kumnyima MWANAMKE haki yake ?
  • Unafikiri mwanamke hajawahi kukunyima haki yako wewe KIDUME?
  • Umewahi kunyimwa?
  • Haki ni nini?
DUH!

Nimeacha na NI  WAZO TU HILI MHESHIMIWA na NI  ruksa kulibishia!

Hebu Macka B na Dada Kofi wajiunge na makundi ya watu waliozoea kusifia kwa ndude  - Proud Of Mandela


Hebu tupumzishwe kwa MANDELA ikisemekana akishabikia watu weupe wauawe


Au hebu Baby Cham na Carl Thomas wabadili mkao kwa ndude- Oh No





Asante WADAU wote tuliokutana juzi fulani ya hivi karibuni ambao baadhi ni hawa katika picha zangu...


Photobucket


Photobucket



Photobucket




Photobucket





Photobucket





Photobucket




Photobucket





Photobucket





Photobucket





Photobucket




Photobucket




Photobucket




Photobucket




Photobucket




Photobucket




Photobucket



Photobucket

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP