Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

STORI YA KAWAIDA inaweza kusaidia MTU kuisikia ikiongelea USENGE kama msomaji au ASIKILIZAYE STORI anafikiria USENGE.:-(

>> Saturday, March 20, 2010



Katika stori ya kawaida ya MTU,...

... mtu anaweza kusahaulika katika SHUKURANI kama msikilizaji ni yule  aaminiye ashukuriwa ye ni MUNGU KWA YOTE hata kama ni mtu ambaye ndiye akumbushaye ya MUNGU .:-(



Swali:
  • Unafikiri wakati unashida ya chumvi JIRANI akikusaidia chumvi naye hastahili SHUKURANI kwa kuwa unaamini awezeshaye yote ni MUNGU?
  • Si unajua stori ya matatizo kwa atafutaye na afikiriaye MASHUJAA anaweza kuwa anasikia  stori za kishujaa tu katika ZE HADITHI?



Ndio,...
... stori ya KAWAIDA YA UHANGAIKALO NALO,...
... unaweza kuigeuza kuwa ni YA MATATIZO ingawa uhangaikalo nalo na JINSI UHANGAIKAVYO NALO wengine huita HILO ni ``MAISHA TU`´hasa  kama unaangalia uhangaikalo nalo kwa LENSI ya matatizo na sio kwa lensi  YA MAISHA ambayo  moja ya jinsi ya kusaidia jipu lipone NI KULIBINYA JIPU.:-(

NI WAZO TU HILI MHESHIMIWA!

Hebu turudi MALI   ili Mama Toumani KONE arudie ndude - Niemogo



Au tu turudi Tanzania Omar KOPA arudie ndude nzito iitwayo-UNYAGO



Au tu Omar Kopa aongee busara zilizo tafutiwa mpaka siku kwa WABONGO -Kitchen Party

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP