Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

SHULE POPOTE!

>> Tuesday, March 09, 2010

FUNZO la leo la KUJALI  WENGINE  halitoki kwenye kitabu kitakatifu bali latoka  kwa  DJ!



DJ mzuri ,...
.....daima ni YULE alengaye   ile kitu  WASHABIKI WAKE na wamsikilizao  wanajali NA kupenda  ,....
..... na DAIMA hang'ang'anii kupiga miziki aipendayo yeye BINAFSI kwa kuwa ndio aipendayo .



Swali:
  • Unafikiri hakuna cha kujifunza katika hilo?

NI WAZO TU la HARAKA HARAKA Mheshimiwa  !


Hebu tu Juliana Kanyomozi na Bushoke warudie- USIENDE MBALI


Au tu PROFESA J aulize tena -Hapo VIPI?



Profesa J na FEROOZ aendelee pia na -NIKUSAIDIAJE?

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 4:40 pm  

Ahsante kwa shule hii Kaka Simon nimekuelewa ujumbe wako.

o'Wambura Ng'wanambiti! 10:44 am  

Kila jambo lina funzo fulani hata KULIA nako :-(

Na kwa kuendeleza wazo, waweza kuta hata katika GLASI ya UGIMBI unapata funzo fulani, ama?

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP