Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

BUSARA za kukwepa WENYE TABIA mbaya!:-(

>> Monday, March 01, 2010


Kumbuka tu,....
...UIMARA wa TABIA YAKO NZURI,...
...yaweza KUWA inahitaji UWEPO wa wenye TABIA MBAYA.:-(





Swali:

  • Unafikiri UNAUHAKIKA unamjua BINADAMU YEYOTE  ambaye unauhakika KUWA hana sebene ifanikiwayo kueleweka nawe usiyemlokole   KUWA NI tabia mbaya?


TABIA NZURI ya mtoto wa MNOKO  uijuayo ,....
... labda ni kwa kuwa WEWE ulilazimika tu KUJUA ni  nini katika TAFSIRI ZA MASHUJAA WA TABIA NZURI  ni nini katika tabia ,...
...DAWATI  la wajanja  wenye tabia   LINA PIA  tabia MBAYA .:-(



Ndio,...
... hata sura nzuri huhitaji unatafsirije sura MBAYA.:-(



NI HILO TU Mheshimiwa na hili NI WAZO TU MKUU!:-(






Hebu pata mshawasha wenye busara wa...




Au hebu COCOA TEA abadili kwa kutenga wadogo kwa ndude-18 and over

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 3:52 pm  

:-(

MARKUS MPANGALA 5:08 pm  

Utishike mkuu, mwenye tabia nzuri, KILA KINAPOSIAMA KITU KIZURI AMA KIBAYA KUNA KITU PIA HUSIMAMA

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP