Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

ASILIMIA kubwa ya kitu watu waitacho SALAMU,....

>> Monday, March 15, 2010

... labda sio SALAMU.:-(


Swali:
  • Wakati unasalimia mtu unauhakika na kitu ufanyacho zaidi ya kuamini tu UFANYACHO ni kusalimia?

  • Unauhakika SALAMU ni nini ikiwa  KUTIKISA KICHWA, kusonya, KUPIGA MAGOTI, kukonyeza na mpaka sentensi ; ``Shikamoo MWAAALIMU!´´na....,....``Sema wee Msenge!´´ kuna watu ni SALAMU?
Ndio,...
.... kunauwezekano WENGI wasalimiao MTU hawajawahi kufikiria SALAMU ni nini.:-(

NI WAZO TU hili MKUU!
JUMATATU NJEMA!

5 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

kamala Lutatinisibwa Lutabasibwa 9:32 am  

duh

Yasinta Ngonyani 11:32 am  

Kusema kweli sina uhakika kwa hili? jumatatu njema kwako pia kaka Simon. Na nina salamu kwako....

Mija Shija Sayi 12:09 pm  

Kitururu naona unalitumia vyema jicho lako la ndani.

Upepo Mwanana 7:01 pm  

Sina jibu miye

Simon Kitururu 12:21 pm  

@Komandoo Kamala: DUH!
@Dada Yasinta:Ntakutafuta!:-(
@Da Mija: Kwa bahati mbaya labda jicho la ndani bado lakini lina makengeza.:-(

@Upepo Mwanana: Hilo laweza kuwa ndilo jibu lakini.:-(

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP