Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kama humjui MLEVI ni uzembe KUWA NA UHAKIKA unajua anafanyanini BAA!

>> Tuesday, March 09, 2010

Kumbuka tu kuna WATU wako KANISANI kutafuta NYUMBA NDOGO na wala sio KUSALI kama WEWE au kama IFIKIRIWAVYO.

Na kuna walio BAA kazini na kazi yao ni USHUSHUSHU na wala sio kuuza BAA kama IFIKIRIWAVYO.:-(

Swali:

  • Unabisha?

NI kweli,...
...KAMA humjui MTU ni uzembe KUWA NA UHAKIKA unajua anafikiria NINI wakati unashuhudia anafanya NANIHINO mahali upafikiriapo na kupaunganisha na NANILIU.

Swali:

  • SI unakumbuka kila aendaye kazini  HOSIPITALINI sio lazima ni NESI au DAKITARI?
  • Unafikiri kila aliyeko CHOONI anajisaidia huko?


NI HILO TU!

Hebu tujikumbushe THE FRESH Prince



Mystic Revealers waongelee mtazamo wao katika- Religion




Na ma YOUTUBE  STARS warudie -We are the WORLD

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP