Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

UHUSIANO wa kosa LA PILI na misingi ya KOSA LA KWANZA.

>> Friday, March 05, 2010

Kunauwezekano MAKOSA YA MTU yana UNDUGU,...
... wa zaidi ya kuwa ayaunganishayo kindugu  ni huyohuyo MMOJA mtu.:-(


Na kosa lile  la TATU,.....
....linaweza kuwa limetokana na MISINGI ileile ya kosa la KWANZA.:-(



Swali:
  • Umewahi kufikiria MAISHANI MWAKO ni lipi lilikuwa kosa lako la kwanza?
  • Unauhakika makosa yako hayana undugu?
  • Unauhakika kosa la leo utalistukia kabla ya la kesho?


Ndio,...
 ...kosa la MTU  la KUMI ,....
.... linaweza kuwa na uhusiano na lile la NNE ambalo lilitokana na misingi ya kosa LAKE la PILI.:-(




Ni wazo tu HILI MHESHIMIWA na wala usikonde!


Hebu ABETI MASIKINI abadilishe kwa kurudia ndude- AZIZA



Au tu Pepe Kalle arudishe kitu-Moyibi

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

chib 12:04 pm  

Kosa langu la kwanza... wala hata sikumbuki kabisa. LEO MKUU UMEFIKIRIA NINI MPAKA UKATUPA SWALI GUMU KAMA HILI :-(

Simon Kitururu 2:29 pm  

@Mkuu CHIB: Niko mawazoni tu Mkuu!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP