Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

HACKED!- SAMAHANI blogu HII imeingiliwa na WAJANJA!

>> Tuesday, February 09, 2010

Kwa wadau wa BLOGU hii mnaweza kustukia tokea jana KUNA POST za MATANGAZO ya aina MBALIMBALI kuanzia VIAGRA , Komputa parts na FAKE rolex yanatokea kama POST hapa .

NA NAPENDA KUTAARIFU sio mimi naye POST HAYO.:-(


NAHANGAIKIA SWALA na ningeshukuru kwa yeyote mwenye ushauri wa KUTATUA SWALA HILI!




Samahani kwa aliyedundishwa roho , ...
.......atakayedundishwa roho KWA HILO,....
.......au lolote la ajabu litakalojitokeza wakati nahangaikia KUTATUA hii kitu roho haipendi.:-(

ASANTENI WOTE!

Ni miye mwaniwani,
- Simon Kitururu.




Sijui kwanini leo Rythm & BLUES iko sana masikioni mwangu ,...
...na kama humaindi hawa hapa BB King, Billy Preston na Bruce Willis katika -Sinners Prayer




Au tu John Lee Hooker arudie tu -ONE bourbon, ONE scotch, ONE beer

3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Masangu Matondo Nzuzullima (MMN) 3:58 am  

Pole mkuu. Watu wanaingia mpaka kuweka matangazo kwenye blogu ya Mtakatifu. Dunia hii imekwisha sasa. Ukipata suluhisho litunze kwani naamini litatusaidia wengi.

Fadhy Mtanga 5:58 am  

Watu hawana maana kabisa. Wamevamia blog ya Mtakatifu Simon. Pole sana mkuu, wabaya hao wanataka tusifaidi utamu wa yaliyomo. Ndiyo maana nikashangaa, tangu lini Mtakatifu anaacha kazi yake na kuanza kuwa IT consultant.
Na kushindwa kuwepo baina yao hao wabaya.
Uwe na wakti maridhawa mkuu.

Simon Kitururu 7:29 am  

@Prof.: Nishapoa! Nikipata suluhisho zuri ntaliweka. Bado napima kucheki kama nishatatua tatizo kwanza ingawa attack kwenye blog zimetulia kidogo.

@Fadhy:Mie mwenyewe nilishangaa kustukia Blogu ina POSTS ambazo mie mwenyewe sizijui .:-(

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP