Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Tofauti ya KUJAMBA KIDOGO na KUJAMBA sana!

>> Thursday, February 11, 2010

[Tahadhari: Wazo hili labda kwa Mheshimiwa KIBANGA  halina HESHIMA!:-(]



LABDA kipimo cha kidogo ni kwako,...
....kwa kuwa KIKUBWA kinategemea kwako kidogo ni nini.:-(




Swali:
  • AU?

Na  kwa Fisi,...
... hata kulalwa kidogo tu,  KIFISI yaweza kukubalika ni ngono,...
... hata kama  AKIJITETEA SANA kuwa WAKATI  shughuli nzima  INATEKENYWA  Fisi  msenge  alikuwa kalala .:-(

NA nahisi,...
...UKIKUMBUKA kuna mtu kwa kuonja kidogo tu alipata gono,....
....basi labda UKILA hata kama hujashiba KWAKUDAI FIRIGISI ya SENENE  ni NDOGO ,bado KITOWEO cha senene katika kundi lako la wala na kuonja  KUMBIKUMBI TU kwa kuwa ni MWIKO KUSENENESHA  wewe haumo,  KWA KUWA SENENE unaijua  tayari utamu ISIVYOTAKIWA KWENYE KUNDI  ingawa  NAKUBALIANA NAWE  KUWA waweza kujitetea ulionja tu na WALA senene KIBONGE  hukuila.:-(


Na  HAKI YANANI TENA ukihisi ,...
....umepewa kidogo tu ono,...
... kama unaamini LAANA  YATOLEWA NA ONO basi labda usijishangae kama  UKIPEWA ONO DOGO  TU kisa umheshimuye  SI KIDOGO asiye kuelewa zaidi YA KIDOGO  KANENA  ONO  AFIKIRIALO NI KUBWA ZAIDI YA DOGO likisababisha  kabla ya kulala unahangaika na lake ONO na  INGAWA  unausingizi   kwa kutafakari ono nyoko  WAOGOPA  kulala.:-(

Swali:

  • Si KWA kuonja kidogo tu BADO  unaweza kujua ni KWELI makende ya kuchoma ya mbuzi ni kweli ni MATAMU tu ?
  • Si kwa kulazimisha kuingiza kidogo tu , si wajua  GARI  MKWECHE laweza kubomoa ukuta?



Kidogo,...
...LABDA  tu ,...

... bado  kuna atakaye kiri INAUMA! :-(




NI WAZO tu  HILI MHESHIMIWA KINGUNGE  na usikonde!:-(


Hebu tubadili kwa kumsikiliza ANANIA NGOLIGA akinusisha kazi ambayo yumo  JOHN KITIME  pia ambao ni hawa hapa ...



na waweza MCHEKI John KITIME kwenye blogu yake  HAPA na BILA kumsahau  BELA FLECK  ngoja tunusishwe dondoo ya   -Throw Down Your Heart



Au tu Talib KWELI abadili kwa kudai- NIGGAS lie A LOT!:-(


Au tu TALIB KWELI agusie- AFRICAN DREAM



Au ngojea nimuache Talib KWELI kama nilivyomdaka siku fulani...


Photobucket



Photobucket



Photobucket



Photobucket



Photobucket




Photobucket




Photobucket



Photobucket


Photobucket



Photobucket

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP