Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

TUKO PAMOJA - ila labda KIMAWAZO mwenzio niko CHOONI!:-(

>> Wednesday, February 10, 2010

Kamsemo ; ``TUKO PAMOJA !´´ .....
.... ni KATAMU kwa kuwa kanawezakumficha asiye PAMOJA NAWE  ULIYENAYE  kwa kukufanya UDHANIE alivyo pamoja na POCHI LAKO  yuko nawe.:-(


TUKO PAMOJA!,...

.....LABDA kama MTETO au MSEMO  yasaidia  KUJAZA  tu jazba  ya kuamini  kaudhaifu kako KAKUTAKA KUAMINI uliyenaye ana  HAIBA za kufanya  ni kweli   YUKO  NAWE.:-(

Swali:
  • Hivi wakati unatamka kale kamsemo `` TUKO PAMOJA´´ si kuna uwezekano kuna siku huwa unatudanganya?

  • Au?
Ndio ,...
... ukiniuliza ntakwambia kuna uwezekano MKUBWA TU  siku nyingine KUWA  uliyenaye pamoja  OFISINI  au DARASANI,.....
.....labda HAYUKO  HAPO na YUKO NAWE  kimawazo GESTI na wala  sio KANISANI .:-(

Swali:
  • Unauhakika sasa hivi kuwa uko hapo ulipo eti mwenyewe udaiko umeketi kitako  na hauko Mtandaoni?



NI HILO TU na ni wazo tu hili MKUU!
TUKO PAMOJA na ubarikiwe sana tu Mheshimiwa !


Hebu SOUKOUS STARS wabadili kwa kitu  -SOFIA



Au tu I Jahman Levi atulize manyanga kwa kukumbusha kitu katika -Master of my Mind



Autu I Jahman adake kihitajicho ngangari akidakacho katika hii nyundo aiitayo- I want to be free

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Fadhy Mtanga 6:48 am  

Tupo pamoja mkuu!

Simon Kitururu 7:19 am  

@Askofu Fadhy: Tuko Pamoja si utani Mkuu!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP