Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

KWA NINI ni MOYO na sio MATAKO au SURA YA KINYEO itumikayo KAMA alama ya UPENDO kwa wahusudu KUPENDA , au kwa leo hii kitu VALENTINE?:-(

>> Sunday, February 14, 2010


MMMMMMmmmmmmh!



Labda ,....


....KUNA historia POTOFU  nyuma ya ALAMA ya WAPENDANAO ,...
...kuwa  NI MOYO na sio UBONGO , matako, chuchu yenye MAKUNYAZI   au tu bonge la PAJA au   NYONYOingawa kuna pendo lamtu linasisimuliwa na MATEGE ya MTU.:-(


Na LABDA  historia ingekaa mkao tofauti, ``HAKI YA NANI TENA´´! kama  nani  NI NANIHII HUYO AMBAYE  kwa wapenda matako,...
.....kwa husudisho KWAKE MAKALIO yangekuwa ndio alama ya PENDO kwa wapendanao kwa kuwa katika tako ndio kuna tundu la asili NA SIRI  ya PENDO LAKE  lijazialo ajuavyo KUPENDA .
:-(




Na haki ya nani ni MAZOEA yafanyayo alama ya MOYO  ionekane NI  nzuri kwa kuwa ukweli wenyewe MOYO wala hauna sura nzuri kwa kuwa mpenda NYONYO,  `` haki ya Mama Kisebengo tena! ´´ anajua CHUCHU nzuri , kwa sura  CHUCHU ILIYONONA NI NZURI hata   kuliko ulivyo....-  MOYO na mishipa yake.
:-(





Hebu lideku sura baya  la  MOYO...









Ok hapa kama wewe unahusudu hesabu .
Implicit heart curve
(x2+y2-1)3-x2y3=0







Hufikirii tako lingefaa tu  kama hili hapa chini kuwa alama ya VALENTINE?





Image courtesy of rooshv.com



Titi je?






Ndio ,...
 ...HISTORI ya vitu husababisha MUOANO wa VITU ambavyo labda hata havina uhusiano  NA PIPI KIJITI au LAWALAWA NYAMA ,...


.....na NDIO  maana KINYEO ni tusi ukikisema  AU KUKIONYESHA kwa mkao fulani  AMBAO NI  wa kawaida KANISANI au MSIKITINI wa utamkavyo NANIHINO wakati NANIHIU   ya mshale KWENYE KABRASHA LA alama ya MSHALE  LABDA  maana yake ni  UPENDO katika VALENTINE   na pendo  SIO kifaa cha  uke na sio KILE  kifaa CHA KINYEO   kwa wapendanao waaminio ALAMA  FULANI INAMAANISHA UNAPENDWA  na UNAPENDA hata kama sio kibasha au KIJALUO kwa kuwa ni alama ya MOYO na moyo ushaaminishwa ni zaidi ya UBONGO.:-(.




Swali:
  • LAKINI si unajua KUWA pendo lako halina alama?
  • Unafikiri MOYO wako  KWAKUWA UNADUNDA ni muhimu sana hata  KINYEO chako kikiziba wakati MOYOwako  UNADUNDA?
  • Unafikiri moyo wako unajua leo ni JUMAPILI na ulikunya kama mwili wako ulijaza choo?

NI HILO TU na  NI WAZO TU, na  ukifikiria sana nilichosema na kukwazika SHAURI ZAKO.:-(
....miye NIMEACHA!:-(




Kwa LEO ,....
.......Hepi......->


....DAY..... Mkuu!




Hebu tubadili banangenge  kwa  ELIS REGINA alete miziki inikunayo sana tu hasa Jumapili Asubuhi katika- Águas de Março



Au tu ELIS REGINA anitamanishe kulalamikiwa na kimwana wa kibrazili kwa kunikumbusha nahusudu vimwana wakibrazili walalaikavyo katika-20 Anos Blues



Au ngojea huyu huyu marehemu ELIS REGINA alete tu na-Madalena








Nipo na sijasahau PAPA MANENTO, Papa Irioko , Dada Neema  a.k.a NEY, DADA NTE Kaka DAVIE , Kaka KHERI, KIKI muzee wa MWANZA,.....,....,........ nipo bado na sijatenga swala la KImtengo au ...:-(


NIpo.....



Photobucket


Photobucket



Photobucket



Photobucket



Photobucket

6 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

o'Wambura Ng'wanambiti! 8:27 am  

yawezekana ikawa hata ishara ya upendo wa valentino kwa waKurya ikawa rungu na siyo moyo ama tako:-(

ama hujasikia baadhi ya wamama wakirejea makwa ati kwa kuwa bwana hajawakong'oli mwaka mzima na kwa hiyo mume hampendi?

chib 10:04 am  

Mkuu si unajua moyo uko kwenye kifua na umezungukwa na grill za mbavu. Na hata ukifungua kifua utaukuta moyo tena umefunikwa na kimfuko kingine kinachoitwa PERICARDIUM.
basi ujue moyo ni kitu muhimu kw binadamu, na hakuna anayeweza kuugusa kwa uzuri au ubaya hadi aufungue, lakini mat.*o watu wanayakalia, wengine wanaya - missuse nk, pia ikitokea unaonyesha ishara ya upendo hata kwa wimbo wa Taifa wewe ukashika tako, watu wakikusamehe sana watakuita chizi, lakini ukishika pale moyo ulipo utaitwa mzalendo wa kweli.
Ni mantiki tu Mkuu au..
Happy valentines day

Yasinta Ngonyani 11:07 am  

Mmmmmmmhhhh humo mimi simo. Happy valentines day Mt.Simon na wengine wote

Fadhy Mtanga 1:38 pm  

Kaka zangu Chacha na Chib mmenifanya kucheka. Lakini nataka Mtakatifu Simon alete sababu kwa nini katika ramani yake ya dunia ta**ni sehemu ya Tanzania inaoneka kuwa ipo naniliu?
Kwetu sisi inawezekana alama ya upendo ni jani la mwanzi maana kule ulanzi ndo kinywaji kipendwacho zaidi. Ama nikiwa kwa wakina Mwablog parachichi ama ndizi ikawa alama ya upendo.

Faith S Hilary 4:42 pm  

Hahahahahhahahahahahahhaaaaaaaaaaa!!! Bora yangekuwa matako unajua...lol!!! Happy Valentine's Day kaka...i love this!

chib 12:30 pm  

Nakubaliana na Chacha, ni kweli kuna akina Mama hukooo kama wasipopata kipigo kwa mwaka mzima basi wanajua upendo hakuna, hivyo wakati mwingine wanamchokoza mume kwa makusudi ili awaangukie, wakivunjwa mkono hivi ndio wanajua kuwa kweli wanapendwa. Sehemu hiyo ukienda kuhubiri usawa wa wanawake kwa wanaume utatimuliwa na akina mama kwa kichapo na makofi ya nguvu, ukibishabisha basi shoka au mchi havikawii kukutembelea tena kichwani.
Akina mama hoyeeeeee

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP