Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Nakusabahi tu MKUU!

>> Wednesday, February 24, 2010





Vipi MAMBO Mkuu!
Ni matumaini yangu weye MDAU wa hii blogu  MAMBO ZAKO Dukinaa !


Vipi ;...
.... siri yako na leo  iko SALAMA ?




Nimebanwa KIDOGO leo MHESHIMIWA kitu ambacho chasababisha nishindwe kufanya   WAZO litoke STEREO.:-(








NAKUTAKIA kila la kheri upate angalau kisaidiacho  UWE na UHAKIKA wa KUPATA choo cha uhakika  MHESHIMIWA!
KESHO BASI kama sijafa na KAMA inawezekana !









Kabla ya hiyo kesho TULIZA basi mshawasha kwa kumsikiliza KALA JEREMIAH akishusha kitu- WIZI MTUPU

8 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 11:19 am  

Umwe na wakati mzuri pia amani Mt. Simon:-)

Fadhy Mtanga 4:51 pm  

ahsante sana mkuu kwa kufikiria kutukumbuka sisi tunogewao na hiki kijiwe chako.
Nawe pia uwe na wakati mzuri.

Fadhy Mtanga 4:51 pm  

ahsante sana mkuu kwa kufikiria kutukumbuka sisi tunogewao na hiki kijiwe chako.
Nawe pia uwe na wakati mzuri.

Mija Shija Sayi 7:16 pm  

Asante Kitururu, ni kweli si vema kutoa wazo lisilo stereo

PASSION4FASHION.TZ 7:58 pm  

Nawe pia mtakatifu Simon.

o'Wambura Ng'wanambiti! 8:09 pm  

Da Mija: si yawezekana weye na mie tukawa na test tofauti ya sterio? Au!

Kwa hiyo hata kama ni mono na si sterio bado wawezakuta watu wanazinguka na wazo.

pengine katika kubanwa huko hata kama ni kwa haja ya KUGIDA WALWA bado waweza zinguka nako tu :-)

Markus Mpangala. 2:33 pm  

Wakati mwzo wa jambo ni mwisho sijui katikati ya jambo ni furaha ama uchungu, na mwendo wa kwenda kufurahi jando na unyago ni utamu wa mwisho kumteka mume/mke
ni furaha kusikia mkuu. je, Vipi? sina swali ni mlazo wa na utelezi wa herufi

Simon Kitururu 4:43 pm  

@Wote: Asanteni wote!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP