Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Labda sio UBINADAMU kwa BINADAMU kuridhika na MAPUNGUFU YAKE ya KIBINADAMU!:-(

>> Monday, February 08, 2010

....na KURIDHIKA na CHOCHOTE KILE ,....
..... hata tu kama hicho sasa hivi ni WALI KWA MAHARAGE ,...

.... kwa kuwa DUNIANI kuna MAKANDE PIA,...

...labda FARAJA YA KURIDHIKA na WALI kwa MAHARAGE ni moja ya PUNGUFU la UBINADAMU .:-(




Swali:
  • SI unakumbuka hata usiporidhika kwa kuwa una JIPU bado daktari wako anaweza kuridhika na hali ya JIPU lako?

  • Si unajua hata kama hupendi VIDONDA kunaaridhikaye na utamu wakukuna kidonda?
  • Kama unaridhika na WALI kwa MAHARAGE si bado unakumbuka duniani UGALI WA MHOGO kwa MLENDA bado upo?
  • Unafikiri ni UBINADAMu kuridhika na mpenzi mmoja?





NI WAZO TU HILI Mkuu!


Hebu twende GHANA Tumi Ebow Ansa arudiue- Owura




Au tu tubaki hapa hapa GHANA Kojo Antwi azungumzie -Meni Wu Beye

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP